Exim kulinda maslahi watumiaji huduma za bima
Benki ya Exim imezindua ushirikiano wa kimkakati na Mamlaka ya Udhibiti wa Bima Tanzania (TIRA) pamoja na kufanya mafunzo ya Akaunti ya Dhamana kwa Makampuni ya Bima (TRUST ACCOUNT). Taarifa ya benki hiyo inasema uzinduzi huo ni katika kuongeza uaminifu na uwazi wa shughuli za bima pamoja na kulinda maslahi ya watumiaji wa huduma za…
