Benki ya Equity yazindua mkopo kufadhili elimu nje ya nchi
Benki ya Equity imezindua mkopo mpya wa elimu uliobuniwa mahsusi kwa ajili ya wazazi wa Kitanzania wanaoishi nchini ambao wanataka kufadhili elimu ya watoto wao nje ya nchi. Tukio hili liliendeshwa na timu ya Benki hiyo ikiongozwa na Haidar – Mkuu wa Kitengo Cha Malipo, na Eric – Meneja Mwandamizi wa Kitengo cha Diaspora, sambamba…
