Takribani asilimia 50 ya Watanzania hawana elimu ya fedha
Inaelezwa kuwa karibu ya asilimia 50 ya Watanzania hawana elimu ya fedha licha ya juhudi zinazofanywa na taasisi za fedha katika kutoa elimu ya fedha kwa maendeleo ya taifa. Kwa ujumla, elimu ya fedha (financial Literacy) humpa mtu uwezo wa kuelewa na kutumia stadi mbalimbali za kifedha kwa ufanisi. Hizi zinajumuisha, lakini si tu, usimamizi…
