Deni la Serikali ni Sh 82.12 trilioni
Waziri wa Fedha Dk Mwigulu Nchemba amesema hadi kufikia Juni 2023, deni la Serikali lilikuwa ni Sh 82.12 trilioni huku mikopo ikitumika kugharamia miradi ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa miundombinu ya barabara, reli, viwanja vya ndege, umeme, afya na elimu. Waziri Nchemba amesema hayo Novemba 6, wakati akiwasilisha mapendekezo ya mwongozo wa maandalizi ya Mpango…
