Waziri ataja sababu daraja la Tanzanite kutumika bure
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa amesema daraja la Tanzanite Watanzania hawalipi na hawatalipa kwa sababu limejengwa kwa 100% kwa pesa ya serikali. Waziri Mbarawa amebainisha kuwa fedha hizo ni mkopo wa masharti nafuu kutoka Korea Kusini ambazo zitalipwa na Serikali ya Tanzania kwa asilimia zote. “Daraja la Kigamboni utaratibu uliotumika ni tofauti,…
