Uwekezaji afya mama na mtoto wahitajika
Uwekezaji katika kuboresha huduma ya afya ya mama na mtoto na sekta ya afya kwa ujumla ni mambo ya muhimu na ya lazima katika kutokomeza fistula nchini. Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Hospitali ya CCBRT Brenda Msangi amesema hayo katika maadhimisho ya siku ya kimataifa ya kutokomeza fistula ya uzazi duniani. “Katika kipindi cha miaka 20…
