swe

Mbunge alia na mikopo kausha damu

Mbunge wa viti maalum Mwantumu Zodo ametaka kufahamu ni lini Serikali itarejesha mikopo ya asilimia 10 ya halmashauri ambayo imesitishwa kwa muda mrefu. Akizungumza Bungeni jijini Dodoma Februari 02, 2023 amehoji “kwa kuwa wakina mama bado wanahangaika na mikopo ya kausha damu mitaani, je ni lini sasa serikali itaanza tena zoezi hili la utoaji mikopo…

Soma Zaidi
weweee

Ndege 4 kuwasili ifikapo 2024

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa amesema ndege nne zinatarajiwa kuwasili nchini ifikapo Februari, 2024. Prof Mbarawa amesema hayo wakati akiwasilisha Bungeni Makadirio ya mapato na matumizi ya Fedha kwa mwaka wa fedha 2023/2024 ya Wizara hiyo. “Miongoni mwa maeneo muhimu ambayo Serikali imeendelea kutekeleza katika uimarishaji wa ATCL ni pamoja na kuendelea…

Soma Zaidi
ppp

Serikali kuokoa Sh bilioni 500

Serikali ya Tanzania itaokoa Sh bilioni 500 ambazo zinatumika kununua mafuta, vipuri na kufanya matengenezo ya magari ya viongozi. Fedha hizo zitaokolewa endapo serikali itawakopesha viongozi wenye hadhi ya kuwa na magari magari hayo na kuwa yao tofauti na sasa ambapo magari hayo yanamilikiwa na kufanyiwa matengenezo na serikali. Akiwasilisha bajeti ya Fedha kwa mwaka…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks