sawaaa

Zaidi ya leseni 4,000 za madini kutolewa Mbogwe

Zaidi ya leseni 4,000 zipo katika utaratibu wa kutolewa katika maeneo manne ya Mkoa wa Kimadini Mbogwe mkoani Geita, huku wazawa na wawekezaji kutoka nje wakitakiwa kuchangamkia fursa zilizopo mkoani humo. Akizungumza katika mahojiano, Afisa Madini Mkazi wa Mbogwe, Mhandisi Jeremiah Hango amesema maeneo yaliyotengwa ni Nyamikonze ambapo leseni 81 ziliweza kugawiwa kwa wachimbaji wadogo,…

Soma Zaidi
Screen Shot 2025 03 10 at 1.26.30 PM

Dkt. Biteko ataka fursa kwa mtoto wa kike ianzie katika ngazi ya familia

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko ameitaka jamii kuongeza nguvu ya kumpa fursa ya elimu mtoto wa kike kuanzia ngazi ya familia ikiwa ndiyo msingi wa maendeleo ya jamii. Dkt. Biteko amesema hayo jijini Dar es Salaam katika Kongamano lililoandaliwa na Kampuni ya Mwananchi Communication “Citizen rising woman” ikiwa ni sehemu…

Soma Zaidi
Screen Shot 2025 03 06 at 3.47.11 PM

Tanzania yaonesha fursa za uwekezaji sekta ya utalii nchini Ujerumani

Wizara ya Maliasili na utalii kupitia taasisi zake za Bodi ya Utalii Tanzania(TTB), Shirika la hifadhi za Taifa(TANAPA) na Mamlaka ya Uhifadhi wa Eneo la Ngorongoro(NCAA) imeendelea kutangaza fursa za uwekezaji katika sekta ya utalii nchini. Haya yamebainishwa na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Dunstan Kitandula alipotembelea banda la Maonesho la Tanzania katika Maonesho…

Soma Zaidi
Screen Shot 2025 03 03 at 10.21.02 AM

Wizara ya Utalii, A & Kent Group kushirikiana kuleta watalii zaidi Tanzania

Wizara ya Maliasili na Utalii na moja ya makampuni makubwa ya utalii duniani ya Abercrombie and Kent Travel Group (AKTG) wamekubaliana kuimarisha ushirikiano kuongeza watalii wa kimataifa nchini Tanzania. Hayo yamefikiwa wakati Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi na ujumbe wake walipokutana na Mtendaji Mkuu wa AKTG Christina Levis nchini…

Soma Zaidi
Screen Shot 2025 02 21 at 1.54.18 PM

Uingereza yavutiwa na mkakati wa Tanzania kuongeza thamani madini nchini

Waziri wa Uingereza anayeshughulikia masuala ya Afrika Lord Collins amevutiwa na mpango wa nchi ya Tanzania kuandaa mkakati maalum wa uongezaji thamani madini nchini Tanzania na kuahidi kwamba Uingereza itatoa ushirikiano katika kusaidia eneo la uongezaji thamani madini hayo ndani ya nchi. Hayo yamesemwa wakati wa kikao kati ya Lord Collins na Waziri wa Madini…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks