Ngorongoro live Dubai
Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro inaonekana mubashara (live) kwenye maonesho ya utalii ya Exp2020 Dubai. Waziri wa Maliasili na Utallii, Dkt. Damas Ndumbaro amepongeza Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) kwa namna inavyotangaza vivutio vya Utalii kwa njia kidigitali kupitia Ngorongoro Live Streaming (Matangazo mubashara kutoka Ngorongoro). Amesema hali hiyo ya Ngorongoro Streaming Live kwenye…
