Kilimo, uvuvi, ufugaji kuwekewa mkazo
Rais Samia Suluhu Hassan amesema serikali imeweka mkazo mkubwa katika sekta za kilimo, uvuvi na ufugaji kuanzaia mwaka wa fedha ujao. Akihutubia wananchi wa Mkoa wa Tabora Rais Samia alisisitiza kuwa sekta hizo zinawagusa wananchi moja kwa moja. Alisema kilimo cha maeneo makubwa kitasaidia kuondoa uhaba wa bidhaa mbalimbali kama mafuta ya kula na kumuagiza…
