Tanzania yaihakikishia IMF maboresho ya sera
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amelihakikishia Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kwamba Serikali itaendelea kufanya maboresho ya sera na mipango yake kwa kuhakikisha sekta mbalimbali za kiuchumi na kijamii zikiwemo sekta za elimu na afya zinapewa kipaumbele katika Bajeti ya Serikali. Dkt. Nchemba amesema hayo wakati akifunga vikao vya majadiliano kati ya Serikali…
