Sekta binafsi yachangia maendeleo yaliyopo Tanzania: Majaliwa
Maendeleo yaliyopo nchini Tanzania hivi sasa yametokana na uhusiano mzuri uliopo baina ya Serikali na sekta binafsi. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameeleza hayo Julai 23, 2024 wakati akizungumza na wadau wa sekta binafsi nchini kwenye ufunguzi wa maadhimisho ya Wiki ya Sekta Binafsi Tanzania kwa mwaka 2024 yaliyofanyika Super Dome, Masaki, jijini Dar es Salaam….
