Benkiwakala inaleta ushindani huduma za bima: Mwigulu
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba amesema Mfumo wa Benkiwakala wa Bima umesaidia kukuza biashara ya Bima nchini. Dk Mwigulu ameeleza hayo wakati akijibu swali la Mbunge wa Morogoro Kusini Innocent Edward Kalogeris aliyetaka kujua kama Serikali haioni kuwa kuruhusu Benki kuwa Wakala wa Bima, Mawakala wengine watafunga biashara kwa kukosa wateja. Dk….
