image 6483441 2

Biashara kati ya Tanzania na China yafikia Dola Bilioni 8.78: Majaliwa

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa uhusiano wa kibiashara kati ya Tanzania na China umeendelea kukua ambapo mwaka 2023 biashara kati ya nchi hizo ilifikia dola bilioni 8.78. Amesema kuwa ukuaji na ushirikiano huo wa makampuni ya China na wafanyabiashara wa Tanzania umeleta maendeleo katika ukuaji wa viwanda vya ndani, kutengeneza ajira, ujenzi wa miundombinu…

Soma Zaidi
Umekuwa ukifikiria jinsi ya kukuza biashara yako ndogo, lakini mtaji umekuwa kikwazo kikuu?

BoT yafungia wakopeshaji 69

Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imefungia  jumla ya majukwaa na programu tumizi “applications” 69 zinazojihusisha na utoaji wa mikopo kidigitali. Taarifa ya BoT iliyosainiwa na Gavana Emmanuel Tutuba Novemba 21, 2024 inaeleza kuwa majukwaa na programu hizo zimeshindwa kukidhi matakwa ya Mwogozo kwa Watoa Huduma Ndogo za Fedha wa Daraja la Pili wanaotoa huduma za…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks