Mfumo wa kushughulikia malalamiko ya wakopaji wazinduliwa
Katika juhudi za kulinda watumiaji wa huduma za fedha dhidi ya manyanyaso ya kifedha na kuhakikisha haki na usawa katika sekta ya fedha, Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba, amezindua mfumo mpya wa kushughulikia malalamiko ya wateja/wakopaji uitwao SEMA NA BOT pamoja na Mazingira ya Majaribio ya Teknolojia ya Fedha. Halfa ya uzinduzi huo imefanyika…
