CRDB YAZINDUA KAMPENI YA BENKI KIMPANGO WAKO
CRDB yazindua Kampeni ya Benki Kimpango wako. Katika ulimwengu wa sasa wa ushindani wa kibiashara na kasi ya teknolojia, mteja ndiye mfalme. Benki ya CRDB, ikiwa ni kiongozi wa soko la fedha nchini Tanzania, imethibitisha hili kwa mara nyingine tena kwa kuzindua kampeni kabambe ya mwaka 2026 inayojulikana kama Benki Kimpango Wako. Kampeni hii si…
