Screen Shot 2025 03 03 at 11.46.54 AM

Rais Dkt. Samia kurudisha hadhi ya Tanga

Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema anataka kurudisha hadhi ya Tanga iwe Tanga yenye viwanda, Bandari kubwa lakini pia Tanga ya uvuvi. Rais Dkt. Samia amesema hayo wakati alipotembelea Bandari ya Tanga Machi 01, 2025. Rais Samia amesema “kwa muda mrefu wana Tanga na Watanzania tulitamani kuona manufaa zaidi kwa Bahari zetu na…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2023 03 08 at 13.42.52

Ufaransa kuisaidia Tanzania ujenzi wa miundombinu

Ufaransa imesema ipo tayari kusaidiana na Tanzania katika ujenzi wa bandari itakayohudumia Tanzania na nchi jirani. Waziri wa Maendeleo na Ushirikiano wa Kimataifa wa Ufaransa, Chrysoula Zacharopoulou amesema hayo alipokutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt.Mwigulu Nchemba. “Ufaransa ipo tayari pia kutusaidia kukuza sekta binafsi ambayo imekuwa ikitoa ajira nyingi kwa…

Soma Zaidi
mwinyi

Kipaumbele cha kwanza ni kujenga miundombinu: Rais Mwinyi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi amesema matarajio yake kwa sasa ni kujenga miundombinu kwanza. Akihutubia katika maadhimisho ya miaka miwili ya kuiongoza Zanzibar, Rais Mwinyi amesema “kipaumbele cha kwanza katika miaka miwili ijayo ni kujenga miundombinu mikubwa, miundombinu ya barabara kuu katika nchi yetu. Miundombinu ya bandari…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks