Mfumo wa Crop Stocks Dynamic System warahisihsa utoaji taarifa bei za mazao sokoni
Wizara ya Kilimo inaendelea kutoa mafunzo ya kujenga uelewa kuhusu utaratibu wa uuzaji na ununuzi wa mazao ya chakula kupitia Mfumo wa Crop Stocks Dynamics System (CSDS) kwa watalaamu wa kilimo katika ngazi ya Halmashauri na Sekretarieti za Mikoa ili kurahisisha usajili wa ghala za Umma, vituo vya mauzo na ukaguzi wa mazao. Katika kuendelea…
