Kimbilieni kuwezesha waanzisha miradi: Waziri wa Fedha
Waziri wa Fedha na Mipango Mwigulu Nchemba amezitaka taasisi za serikali kuwezesha watu wanaoanzisha shughuli za uzalishaji nchini. Mwigulu amesema hayo katika Kongamano la Kodi Kitaifa lililofanyika jijini Dar es Salaam na kukutanisha wadau mbalimbali wa masuala ya kodi kujadili namna ya kuboresha Sera za Kodi, kuchochea ukuaji wa uchumi, biashara na uwekezaji nchini. “Mtu…
