Poland kuisaidia Tanzania kuweka mifumo ya kodi kidigitali
Poland imeahidi kuisadia Tanzania kuimarisha mifumo ya kodi kwa njia ya kidigitali ili kuongeza ufanisi katika ukusanyaji wa mapato ya Serikali kwa ajili ya kuendeleza nchi na watu wake kwa ujumla. Ahadi hiyo imetolewa Mjini Davos nchini Uswisi na Waziri wa Fedha wa nchi hiyo Magdalena Rzeczkowsk, alipokutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Fedha…
