Epukeni kukopa kwa wasio na leseni: BoT
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imewataka wananchi kuepuka kukopa au kufanya biashara na taasisi, kampuni au mtu/watu binafsi ambao hawana leseni. Taarifa ya BoT iliyotolewa Novemba 24, 2022 inasema “imebaini kuna baadhi ya taasisi, kampuni na watu binafsi wanaojihusisha na biashara ya kutoa mikopo bila ya kuwa na leseni, jambo ambalo ni kinyume na Kifungu…
