WhatsApp Image 2023 03 10 at 14.43.55

Watanzania watakiwa kuchangamkia  fursa soko la Malawi

Mamlaka ya Maendeleo ya biashara Tanzania (TanTrade) 9Machi 2023 imeratibu mkutano Kwa njia ya Teknolojia ya Mtandao baina kwa kushirikiana na Ubalozi wa Tanzania nchini Malawi wenye lengo la kujadili fursa za kibiashara zilizopo kati ya Tanzania na nchi ya Malawi. Mkutano huo umeshirikisha Taasisi mbalimbali za serikali pamoja na Wafanyabiashara. Akizungumza katika mkutano huo,…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2023 03 10 at 12.10.23

TEHEMA kuboresha ukusanyaji kodi

Serikali ya Estonia imeahidi kuisaidia Tanzania kuboresha mifumo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) ya ukusanyaji kodi. Hatua hiyo itasaidia kupiga hatua zaidi katika masuala ya usimazi wa kodi na kuongeza uwazi na uwajibikaji. Ahadi hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Masuala ya Uchumi na Maendeleo wa Estonia, Mariin Ratnik, katika mazungumzo na Waziri…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2023 03 08 at 13.42.52

Ufaransa kuisaidia Tanzania ujenzi wa miundombinu

Ufaransa imesema ipo tayari kusaidiana na Tanzania katika ujenzi wa bandari itakayohudumia Tanzania na nchi jirani. Waziri wa Maendeleo na Ushirikiano wa Kimataifa wa Ufaransa, Chrysoula Zacharopoulou amesema hayo alipokutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt.Mwigulu Nchemba. “Ufaransa ipo tayari pia kutusaidia kukuza sekta binafsi ambayo imekuwa ikitoa ajira nyingi kwa…

Soma Zaidi
ccc

Serikali yadhamiria kumaliza tatizo la mafuta

Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali imedhamiria kufanya mageuzi makubwa kumaliza tatizo la upatikanaji wa mafuta nchini. Waziri Mkuu amesema mageuzi hayo yatakwenda sambamba kwa kupanda miche mipya ikiwemo ya michikichi. Amesema hayo akiwa Mkoani Kigoma na kuwataka Wakuu wa Mikoa na Wilaya wenye ardhi inayokubali zao hilo wafanye hivyo mara moja kwani…

Soma Zaidi
mmm

Mbaazi za Tanzania zaondolewa ushuru India

Serikali ya India imeruhusu Tanzania kuingiza kiasi cha tani laki mbili (200,000) za mbaazi bila ushuru wa forodha (Free Import Regime) kuanzia sasa hadi Machi 2024. Taarifa ya Wizara ya Kilimo imewahimiza wadau wa kilimo wenye nia ya kuuza mbaazi nchini India kuzingatia viwango vya ubora viavyohitajika katika soko la India. “Mbaazi zitakazosafirishwa kwenda India…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks