WhatsApp Image 2022 05 30 at 4.32.13 PM

TANAPA yapongezwa juhudi za kutangaza utalii

Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania(TANAPA) limepongezwa kwa juhudi kubwa inazofanya za kutangaza vivutio vya utalii. Pongezi hizo zimetolewa leo na Waziri wa viwanda, biashara na uwekezaji Dkt. Ashatu Kijaji alipotembelea banda la TANAPA wakati akifungua rasmi maonesho ya 9 ya biashara yanayofanyika jijini Tanga. Maonesho haya yanaendelea hadi tarehe 6/6/2022. Sekta mbalimbali, mashirika ya…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2022 05 31 at 2.30.45 PM

Rais Samia apokea Kombe la Dunia

Rais Samia Suluhu Hassan leo Mei 31, 2022 amepokea Kombe la Dunia la Mashindano ya Mpira wa Miguu Ikulu jijini Dar es Salaam. Akipokea kombe hilo Rais Samia amesema kombe hilo kutembezwa Tanzania kuna maana kubwa kwenye mchango wa kiuchumi na kijamii kwa fursa zinazoweza kupatikana katika kuitangaza nchi. “Kwa maneno mengine hapa Tanzania tunasema…

Soma Zaidi
kkkk

Kilimo, uvuvi, ufugaji kuwekewa mkazo

Rais Samia Suluhu Hassan amesema serikali imeweka mkazo mkubwa katika sekta za kilimo, uvuvi na ufugaji kuanzaia mwaka wa fedha ujao. Akihutubia wananchi wa Mkoa wa Tabora Rais Samia alisisitiza kuwa sekta hizo zinawagusa wananchi moja kwa moja. Alisema kilimo cha maeneo makubwa kitasaidia kuondoa uhaba wa bidhaa mbalimbali kama mafuta ya kula na kumuagiza…

Soma Zaidi
kiza

Maandamao mfumuko wa bei yamtia matatani Kizza Besigye

  Kampala. Mwanasiasa ambae pia amewahi kugombea nafasi ya urais mara nne nchini Uganda Dk. Kizza Besigye amekamatwa na polisi nchini humo. Besigye amekamatwa baada ya kujaribu kurudisha maandamano yenye jina “Muzuukuke” ikimaanisha “amka” leo Mei 23 asubuhi. Maandamano hayo yanatokana na kupanda kwa gharama za maisha. Kabla ya kukamatwa, kiongozi huyo wa upinzani alikuwa…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks