Bilioni 3 kujenga kiwanda cha parachichi Iringa
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameahidi ujenzi wa kiwanda cha kuchakata parachichi katika mkoa wa Iringa ili kuliongezea thamani zao hilo. Kiwanda hicho kitajengwa kwa gharama ya Shilingi bilioni tatu. Akizungumza na wananchi wa eneo la Nyololo wakati wa ziara ya siku tatu mkoani humo Agosti 11, 2022 Rais Samia amesema kiwanda hicho kinajengwa…
