Maeneo ya uhifadhi ni muhimu kwa uchumi: Mchengerwa
Tanzania leo Machi 3, 2023, inaungana na nchi nyingine kuadhimisha Siku ya Wanyamapori Duniani (World Wildlife Day). “Maeneo ya uhifadhi ni muhimu sana kwa uchumi wa nchi na yanachangia asilimia 17 ya pato la taifa, asilimia 25 ya fedha za kigeni na kutoa ajira takribani 1.5 kwa Watanzania,” amesema Waziri wa Maliasili na Utalii Mohamed…
