WhatsApp Image 2024 02 12 at 16.39.49

Tanzania kuanzisha viwanda vya kutengeneza pikipiki

Serikali imesema inaendela kutekeleza mikakati mbalimbali ya kuhakikisha viwanda vingi vinaanzishwa nchini vikiwemo viwanda vya kutengeneza pikipiki. Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Exaud Kigahe ameitaja mikakati hiyo kuwa ni pamoja na kuweka mazingira bora ya biashara na uwekezaji na kujenga miundombinu wezeshi kwa ajili ya ujenzi wa viwanda hivyo. Kigahe ametoa kauli hiyo Bungeni…

Soma Zaidi
swe

Mbunge alia na mikopo kausha damu

Mbunge wa viti maalum Mwantumu Zodo ametaka kufahamu ni lini Serikali itarejesha mikopo ya asilimia 10 ya halmashauri ambayo imesitishwa kwa muda mrefu. Akizungumza Bungeni jijini Dodoma Februari 02, 2023 amehoji “kwa kuwa wakina mama bado wanahangaika na mikopo ya kausha damu mitaani, je ni lini sasa serikali itaanza tena zoezi hili la utoaji mikopo…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2024 02 02 at 12.25.57

Harakisheni kusikiliza kesi za biashara: Rais Samia

Rais Samia Suluhu Hassan amezitaka mahakama nchini kuharakisha kusikiliza kesi za kibiashara. Rais Samia amesema hayo wakati akihutubia maadhimisho ya Siku ya Sheria yaliyofanyika kwenye viwanja vya Chinangali jijini Dodoma, Februari 01, 2023. Amesema ni vema mahakama ikatoa kipaumbele cha kuharakishwa usikilizwaji wa kesi za kibiashara katika masuala ya kisheria pindi inapotokea migogoro ili kuvutia…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks