BILIONI 50 KUIMARISHA UMEME KANDA YA ZIWA
Bilioni 50 kuimarisha umeme kanda ya ziwa. Sekta ya nishati nchini Tanzania inaendelea kushuhudia mabadiliko makubwa ya kimuundo na kimkakati, lengo kuu likiwa ni kuchochea kasi ya maendeleo ya viwanda na huduma za kijamii. Katika jitihada hizo, upatikanaji wa umeme Kanda ya Ziwa umekuwa kipaumbele cha Serikali ya Awamu ya Sita, ikiongozwa na Rais Dkt….
