sawaaaa

Maonesho ya kwanza ya kilimo kufanyika mazingira ya jangwa

Wafanyabiashara na wawekezaji kutoka sekta ya kilimo wanaalikwa kushiriki katika maonesho ya kimataifa ya mazao ya kilimo yatakayofanyika Doha- Qatar. Wizara ya Viwanda na Biashara kupitia Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara (TanTrade) imesema inaratibu ushiriki wa Tanzania katika maonesho hayo yajulikanayo kama Horticulture Expo Doha 2023. “Wafanyabiashara na wawekezaji kutoka sekta ya kilimo wanaalikwa kushiriki…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2023 08 14 at 13.04.20

Maonesho ya chakula ya nchi za Asia kuunganishwa na nanenane

Serikali imewaalika waandaji wa Mkutano na Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo na Chakula (International Agri Food Conference and Exhibition) kujadiliana namna ya kurasimisha shughuli hizo ili ziendane na maonesho ya Kimataifa ya Kilimo Nanenane yanayofanyika nchini kila mwaka. Waziri wa Kilimo Hussein Bashe ameyasema hayo Agosti 2023, wakati wa ufunguzi rasmi wa maonesho hayo, jijini…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2023 06 19 at 15.21.41

Wakulima wapewa mafunzo sumukuvu

Wakulima wilayani Kiteto mkoa wa Manyara wamepewa mafunzo juu ya Sumukuvu na madhara yake. Mafunzo hayo, yametolewa na Wizara ya Kilimo kupitia Mradi wa Kudhibiti Sumukuvu Tanzania (TANIPAC). Elimu hiyo imetolewa kwa wahanga wa madhara ya sumukuvu ambapo imelenga uvunaji, ukaushaji na uhifadhi wa nafaka kwa kuzingatia kanuni bora za kilimo ili kuepusha chakula kisichafuliwe…

Soma Zaidi
ccc

Serikali yadhamiria kumaliza tatizo la mafuta

Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali imedhamiria kufanya mageuzi makubwa kumaliza tatizo la upatikanaji wa mafuta nchini. Waziri Mkuu amesema mageuzi hayo yatakwenda sambamba kwa kupanda miche mipya ikiwemo ya michikichi. Amesema hayo akiwa Mkoani Kigoma na kuwataka Wakuu wa Mikoa na Wilaya wenye ardhi inayokubali zao hilo wafanye hivyo mara moja kwani…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks