KWANINI SERIKALI INASHIKILIA HISA CHACHE
Kwanini serikali inashikilia hisa chache . Katika ulimwengu wa uchumi wa soko huria, kumekuwa na mjadala wa muda mrefu kuhusu nafasi ya dola katika biashara. Je, serikali inapaswa kuwa mfanyabiashara, au msimamizi wa mazingira ya biashara? Nchini Tanzania, mjadala huu umepata majibu ya kitaalamu kupitia Ofisi ya Msajili wa Hazina (OMH), ambayo imefafanua falsafa nyuma…
