PPAA yawanoa wazabuni Kanda ya Kaskazini
Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) imeendelea na zoezi la kuwajengea uwezo wazabuni kuhusu matumizi ya Moduli ya kuwasilisha na kushughulikia malalamiko na rufaa kwa njia ya kielektroniki katika mfumo (NeST). Akifungua mafunzo ya siku mbili (tarehe 10 – 11 Aprili, 2025) kwa wazabuni na wadau wa ununuzi wa Umma kutoka taasisi za…
