Watanzania watakiwa kununua bidhaa za ndani
Maonesho ya saba ya Bidhaa za Viwanda vya Tanzania yenye lengo la Kutangaza na kuhamasisha Watanzania kutumia bidhaa za Tanzania yamefunguliwa. Maonesho hayo yaliyoanza Desemba 3 hadi 9 yanayofanyika katika Uwanja wa Maonesho wa Mwalimu Julius Nyerere (Sabasaba) jijini Dar es salaam yakiwa na kauli mbiu ya ‘nunuachakwetu’. Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda…
