Serikali yatoa ufafanuzi tangazo jengo la Burj Khalifa
Tanzania imetambuliwa baada ya bendera na picha ya Rais Samia Suluhu Hassan kuwekwa kwenye jengo refu kuliko yote duniani liitwalo Burj Khalifa lililopo katika jiji la Dubai. Serikali ya Tanzania imesema haijalipia tangazo hilo. Hii ni baada ya watu mbalimbali kutoa maoni yao kwenye mitandao ya kijamii wakihoji gharama zilizotumika kuweka tangazo hilo katika jengo…
