WhatsApp Image 2024 10 23 at 11.06.51 1

Rais Dkt. Mwinyi asisitiza fursa za kiuchumi na kuitangaza Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewasisitiza Mabalozi wa Nchi za Afrika wanaoziwakilisha nchi zao nchini Tanzania kuimarisha ushirikiano na fursa za kiuchumi pamoja na kuutangaza utalii wa Zanzibar kimataifa. Rais Dkt. Mwinyi ameyasema hayo Oktoba 21, 2024, alipozungumza na mabalozi waliotembelea Ikulu baada ya kumaliza ziara yao…

Soma Zaidi
mmm

Ukiuzia madini nyumbani tutakufutia leseni: Waziri Mavunde

Serikali imepiga marufuku biashara ya madini kufanyika majumbani kwa watu na kusisitiza kwamba hatua kali za kisheria zitachukuliwa ili kudhibiti utoroshaji madini na upotevu wa mapato ya Serikali. Waziri wa Madini Anthony Mavunde amesema hayo Septemba 17, 2024 Wilayani Tunduru, mkoani Ruvuma akiwa katika ziara ya kikazi mkoani humo kukagua miradi na maendeleo ya shughuli…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2024 09 12 at 13.21.41

Tanzania imesajili miradi ya Dola Bilioni 8.65 ndani ya mwaka mmoja

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema ndani ya mwaka mmoja, Serikali imefanikiwa kusajili miradi 9,678 yenye thamani ya dola za Marekani milioni 8,658 hali ambayo inaonesha matokeo chanya ya uwekezaji nchini. Waziri Mkuu ameeleza hayo Septemba 11, 2024 wakati akizungumza na wadau mbalimbali walioshiriki hafla ya uzinduzi wa Taarifa tano za Maboresho ya Mazingira ya Biashara…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks