MABADILIKO MAKUBWA SOKO LA KARIAKOO
Mabadiliko makubwa soko la Kariakoo . Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imeanza rasmi hatua madhubuti ya kubadilisha muonekano wa kitovu cha biashara nchini Tanzania. Operesheni ya kuondoa wafanyabiashara Kariakoo wanaofanyia shughuli zao kwenye maeneo yasiyo rasmi sasa imepamba moto, ikiwa ni utekelezaji wa maagizo ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert…
