Screen Shot 2025 05 27 at 12.33.51 PM

Wabunge wa Zambia watembelea mradi wa SGR

Wabunge kutoka Bunge la Zambia wametembelea Stesheni ya Magufuli Jijini Dar es Salaam kwaajili ya kujionea maendeleo ya mradi wa reli ya kisasa ya Standard Gauge Railway (SGR) unaoendeshwa kwa umeme, ikiwa ni sehemu ya ziara yao ya mafunzo na kubadilishana uzoefu katika sekta ya usafirishaji na miundombinu. Ujumbe huo umetembelea mradi huo Mei 26,…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2023 10 25 at 13.52.39

Vikwazo nane vyaondolewa Tanzania, Zambia, vyabaki 16

Tanzania na Zambia zimekubaliana kuendelea kuondoa vikwazo mbalimbali vya kikodi na visivyo vya kikodi ambapo mpaka sasa vikwazo nane vimeondolewa kati ya 24 vilivyoainishwa na serikali hizo mbili. Makubaliano hayo ni pamoja na kuondoa urasimu, kuweka mazingira rahisi ya ufanyaji biashara, kuitumia vyema miundombinu inayounganisha nchi hizo na kuruhusu muingiliano wa watu. Hayo yamejadiliwa mjini…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks