Rais Benki ya Dunia atembelea wakulima wa mwani Zanzibar
Rais wa Benki ya Dunia (WB) Ajay Banga Banga, amezungumza na baadhi ya wanufaika wa Mradi wa kilimo cha mwani unaowanufaisha zaidi ya watu 15,000, ambapo asilimia 74 ni wanawake. Akiwa na waziri wa Fedha wa Tanzania Mwigulu Nchemba, wametembelea mradi huo katika kijiji cha Muungoni, Mkoa wa Kusini, Wilaya ya Kusini, Zanzibar, ambao umewezeshwa…
