Msichimbie fedha ndani: Waziri Dkt Nchemba
Watanzania wametakiwa kutumia benki kuhifadhi fedha zao ili kuhakikisha usalama wa fedha hizo na usalama wao na kuacha tabia ya kuhifadhi fedha majumbani. Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, amesema hayo jijini Dodoma wakati akizundua Tawi la Benki ya watu wa Zanzibar (PBZ) kwa niaba ya Mheshimiwa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Dkt. Nchemba…
