Screen Shot 2025 03 10 at 1.26.30 PM

Dkt. Biteko ataka fursa kwa mtoto wa kike ianzie katika ngazi ya familia

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko ameitaka jamii kuongeza nguvu ya kumpa fursa ya elimu mtoto wa kike kuanzia ngazi ya familia ikiwa ndiyo msingi wa maendeleo ya jamii. Dkt. Biteko amesema hayo jijini Dar es Salaam katika Kongamano lililoandaliwa na Kampuni ya Mwananchi Communication “Citizen rising woman” ikiwa ni sehemu…

Soma Zaidi
Screen Shot 2025 03 17 at 2.59.47 PM

Mila, desturi vyatajwa baadhi ya vikwazo wanawake, vijana kushiriki katika uongozi

Baadhi ya mila, desturi, imani na mfumo dume vimetajwa kuwa moja ya vikwazo vinavyowazuia wanawake na vijana wengi kushiriki kikamilifu katika siasa na uongozi wa jamii. Utafiti uliofanywa na Shirika la Mazingira na Haki za Binadamu na Jinsia (Envirocare), umeonesha baadhi ya changamoto hizo zikiwemo pia rushwa ya ngono na ukosefu wa fedha kwa kundi…

Soma Zaidi
Screen Shot 2025 02 20 at 11.58.50 AM

Kuweka akiba iwe lazima kila unapopata fedha

Wananchi wametakiwa kubainisha matumizi yasiyo ya lazima na kuyaondoa na kufanya kuweka akiba kuwa ni sehemu ya  lazima kila wanapopata fedha. Aidha, Afisa Mwandamizi Masoko na Mawasiliano kutoka Kampuni ya Uwekezaji ya UTT AMIS, ametoa wito kwenye semina zinatolewa na Wizara ya Fedha kupitia Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha ilifanyika katika Ukumbi wa…

Soma Zaidi
sawaqq

Asilimia 80 ya Watanzania kutumia nishati safi ya kupikia ifakapo 2034

Inategemewa kuwa baada ya miaka tisa kutoka sasa (2025), asilimia 80 ya Watanzania watakuwa wanatumia nishati safi ya kupikia. Hiyo, itakuwa ni matokeo ya utekelezaji wa Mkakati wa Nishati safi ya Kupikia kitaifa unaosimamiwa na Kamati ya wataalam iliyoundwa na Maafisa Waandamizi kutoka katika Wizara na Taasisi mbalimbali. Kamati hiyo imefanya kikao kazi katika Ofisi…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks