Screen Shot 2024 12 03 at 1.40.02 PM

Bilioni 32 zanufaisha miradi ya utafiti, ubunifu

Serikali imesema kuanzia mwaka 2021imetoka Shilingi bilioni 32 ambazo zimetumika kwenye miradi ya utafiti na ubunifu. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko amemsema hayo Disemba 02, 2024 wakati akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kufungua Kongamano la tisa la Sayansi, Teknolojia, Ubunifu na maonesho linaloendelea Jijini…

Soma Zaidi
image 6483441 2

Biashara kati ya Tanzania na China yafikia Dola Bilioni 8.78: Majaliwa

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa uhusiano wa kibiashara kati ya Tanzania na China umeendelea kukua ambapo mwaka 2023 biashara kati ya nchi hizo ilifikia dola bilioni 8.78. Amesema kuwa ukuaji na ushirikiano huo wa makampuni ya China na wafanyabiashara wa Tanzania umeleta maendeleo katika ukuaji wa viwanda vya ndani, kutengeneza ajira, ujenzi wa miundombinu…

Soma Zaidi
Screen Shot 2024 11 28 at 12.50.29 PM

Watanzania kupata zawadi kupitia risiti za kielektroniki

Katika kuhamasisha matumizi ya mashine za kielektroniki nchini, serikali inatarajia kufungua Tuzo ya Uzalendo ambapo wananchi wataweza kujipatia zawadi kupitia risiti za kielektroniki. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Kongamano la Kodi, Robert Manyama, wakati wa Kongamano la Kodi lililofanyika Mkoani Kigoma. “Serikali ina jukumu kubwa la kuweka mikakati ya kuendelea kurasimisha biashara nchini na kuhamasisha…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2024 11 19 at 17.11.29 e1732025998363

Kongamano la kwanza la kikodi nchini lakutanisha wadau

Serikali kupitia Wizara ya Fedha imefanya kongamano la kodi kikanda kwa kuwakutanisha Wadau kutoka sekta binafsi wakijumuisha wataalam na washauri wa kodi, wadau wa sekta mbalimbali nchini, wafanyabiashara, wazalishaji wa bidhaa na mazao mbalimbali pamoja na Makundi Maalum ili kuboresha mifumo ya kodi itakayochochea mazingira ya ufanyaji biashara na uwekezaji nchini. Hayo yameelezwa na Kamishna…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks