Tanzania kupokea takribani dola milioni 74 kutoka IFAD kwa ajili ya wakulima wadogo
Tanzania inatarajia kupokea takribani dola milioni 74 kutoka Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo (IFAD) kwa ajili ya mazao na program ya kutoa suluhisho la kifedha kwa wakulima wadogo na miradi ya maendeleo vijijini ambayo inaendelea kufanyiwa kazi. Hayo yameelezwa na Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Amina Khamis Shaaban baada ya kukutana na…
