Jumuiya ya Wahasibu Wakuu Afrika yatakiwa kuweka mifumo usimamizi fedha za umma
Jumuiya ya Wahasibu Wakuu wa nchi za Afrika wametakiwa kuandaa mapendekezo yanayohusu umuhimu wa mifumo madhubuti ya usimamizi wa fedha za umma inayoweza kukabiliana na changamoto zinazojitokeza duniani. Changamoto hizo ni pamoja na athari za mabadiliko ya tabianchi, mabadiliko ya kiteknolojia na mabadiliko ya kiuchumi. Hayo yameelezwa na Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa Disemba 02,…
