Taasisi za elimu ya juu zilinganishwe kimataifa: Prof. Nombo
Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Carolyne Nombo amesema ni muhimu kwa taasisi za elimu barani Afrika kulinganishwa na nyingine duniani ili kuongeza weledi na kuzalisha wataalamu watakaoshindani duniani. Prof. Nombo amesema hayo Septemba 27, 2022 jijini Cape Town, Afrika Kusini wakati akishiriki mjadala wa mada kuhusu ‘Ulinganishaji wa Vyuo Vikuu…
