Vyama vya ushirika vyatakiwa kujiendesha kibiashara
Vyama vya ushirika vya wakulima wa mazao mbalimbali vimetakiwa kujiendesha kibiashara ili kukuza uchumi wa ushirika na kujenga vyama imara vyenye kushiriki kwenye ushindani wa kibiashara. Naibu Waziri wa Kilimo Anthony Mavunde ameyasema Juni 14, 2023 wakati wa uzinduzi wa Programu ya Taasisi ya WE EFFECT ya ‘Livehoods and Right to Food Program’ (LRF) jijini…
