Bei zitapungua mwezi Machi: Bashe
Serikali imesema bei ya vyakula nchini zitashuka kuanzia Machi mwaka huu. Kumekuwa na upandaji wa bei za vyakula nchini ambapo bei ya kilo moja ya unga imefikia kati ya Sh2000 hadi Sh2500 huku bei ya kilo moja ya maharage imefikia Sh4000 hadi Sh4500. Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema bei hizo zitashuka na kuwapunguzia wananchi…
