WhatsApp Image 2023 06 05 at 13.13.06

Vikwazo 10 vya kibiashara vyaondolewa Afrika Mashariki

Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zimekubaliana kuondoa vikwazo kumi vya kibiashara visivyo vya kiforodha (NTBs). Vikwazo nane vikiendelea kushughulikiwa, na vikwazo vingine vipya vinne vimewasilishwa ili kuboresha mazingira ya uwekezaji na biashara baina ya nchi hizo. Vilevile, nchi hizo zimekubaliana kutoza kiwango cha dola 10 za kimarekani kwa kilomita 100 kwa ajili…

Soma Zaidi
kkk

Hakuna kiwanda kitakachofungwa: Waziri Kijaji

Waziri wa Uwekezaji , Viwanda na Biashara , Dk Ashatu Kijaji amesema serikali imedhamiria kuona viwanda vyote nchini vinafanya kazi kwa siku zote saba za wiki. Ameongeza kuwa hakuna kiwanda kitakachofungwa kwa kushindwa kujiendesha kutokana na masharti ya uwekezaji au kukosa masoko ya bidhaa wanazozalisha. Dk Kijaji amesema hayo alipotembelea kiwanda cha 21 st Century Textile LTD kilichopo…

Soma Zaidi
nbc

Wanawake 200 wapata mafunzo ya biashara

Takribani wanawake 200 wamepata mafunzo ya biashara yaliyolenga kuwajengea uwezo. Mafunzo hayo yametolewa  na benki ya NBC kwa wafanyabiashara katika kipindi cha maonesho ya Viwanda kwa Wanawake wajasiriamali kwa mwaka 2022. Neema Rose Singo amabae ni Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa NBC amesema “tumetoa mafunzo kwa wanawake wafanyabiashara takribani 200, na tunaamini mafunzo haya…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks