Serikali ya Tanzania kurejesha minada madini ya vito
Serikali kupitia Wizara ya Madini inarudisha minada ya ndani ya madini ya vito itakayofanyika katika maeneo ya uzalishaji. Maeneo hayo ni pamoja na Mirerani, Mahenge, Tunduru, Dar es salaam, Arusha na Tanga na kimataifa itafanyika mji wa Bangkok na Jaipur nchini Thailand. Hayo yamesemwa Oktoba 16, 2024 na Waziri wa Madini Anthony Mavunde wakati akijibu…
