WhatsApp Image 2024 02 12 at 16.39.49

Tanzania kuanzisha viwanda vya kutengeneza pikipiki

Serikali imesema inaendela kutekeleza mikakati mbalimbali ya kuhakikisha viwanda vingi vinaanzishwa nchini vikiwemo viwanda vya kutengeneza pikipiki. Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Exaud Kigahe ameitaja mikakati hiyo kuwa ni pamoja na kuweka mazingira bora ya biashara na uwekezaji na kujenga miundombinu wezeshi kwa ajili ya ujenzi wa viwanda hivyo. Kigahe ametoa kauli hiyo Bungeni…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2023 10 09 at 11.52.05

Dola 1000 kwa vijana kukabiliana na mabadiliko tabia nchi

Vijana wapatao 10 kutoka mataifa mbalimbali duniani watapatiwa kiasi cha Dola za Kimarekani 1000 kwa ajili ya kuendeleza miradi ya kukabiliana na mabadiliko ya Tabia Nchi. Haya yamebainika wakati Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Dunstan Kitandula akihitimisha kongamano la Kimataifa la vijana kuhusu Mabadiliko ya Tabia nchi katika chuo Kikuu cha Dar es salaam….

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2023 06 13 at 10.28.58

Vijana wenye biashara changa kunolewa

Biashara changa za vijana 196 (startups) zimeingia katika hatua ya mafunzo kabla ya kupewa mitaji wezeshi kwa ajili ya kuendeleza biashara zao. Taasisi ya CRDB Bank Foundation imezindua kambi ya mafunzo (boot camp) kwa ajili ya vijana hao. Uzinduzi wa kambi hiyo umefanyika katika kituo maalum cha kuendeleza biashara changa kilichopo Makao Makuu ya zamani…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks