Rais Dkt. Mwinyi asisitiza fursa za kiuchumi na kuitangaza Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewasisitiza Mabalozi wa Nchi za Afrika wanaoziwakilisha nchi zao nchini Tanzania kuimarisha ushirikiano na fursa za kiuchumi pamoja na kuutangaza utalii wa Zanzibar kimataifa. Rais Dkt. Mwinyi ameyasema hayo Oktoba 21, 2024, alipozungumza na mabalozi waliotembelea Ikulu baada ya kumaliza ziara yao…
