Wajasiriamali wa kati wameongezeka kwa kiasi kikubwa nchini
Jumanne Rajabu Mtambalike ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Sahara Ventures inayojishughulisha na kuunganisha wajasiriamali wa kati na makampuni ya uwekezaji nje ya nchi kidigitali. Kampuni hiyo ambayo ilianzishwa mwaka 2016, ni atamizi ya kusaidia makampuni madogo madogo kuwa tayari kukutana na wawekezaji mbalimbali kwa kuwapa ubunifu, ushauri na teknolojia. Mtambalike ambae pia ni mjasiriamali…
