WhatsApp Image 2024 06 30 at 20.33.59

Tanzania yaja na mpango kuwawezesha waraibu wa dawa za kulevya kiuchumi

Serikali ya Tanzania inaanda mpango wa Kitaifa wa kuwawezesha kujikimu kiuchumi vijana wanaoachana na matumizi ya dawa za kulevya. Mpango huo, utawawezesha vijana hao kupata mitaji ambayo itawawezesha kushiriki kwenye shughuli za ujasiriamali ambazo zitawasaidia kukuza kipato chao. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameeleza hayo Juni 30, 2024 wakati akizungumza na wananchi na wadau mbalimbali walioshiriki…

Soma Zaidi
sawaaa

Tutaendelea kuunga mkono wawekezaji kwenye kilimo: Bashe

Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema Serikali itaendelea kuunga mkono wawekezaji wanaoonesha nia ya kuwekeza kwenye uongezaji thamani wa zao la alizeti hususan katika kuzalisha mafuta ya kupikia. Amesema hayo alipokutana kwa mazungumzo na wawakilishi kutoka Kampuni ya Mainland Group kutoka ya China Juni 24, 2024 jijini Dodoma. “Zao la alizeti ni miongoni mwa mazao…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks